Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya nafuu kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika Safi sana..Mambo ya bima ya afya serikali iachane nayo iachie sekta binafsi kama mambo...
5 Reactions
9 Replies
218 Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
108 Replies
2K Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
4 Reactions
59 Replies
913 Views
Sakata la waziri wa michezo na serikali yake dhidi ya mashabiki wa mpira mbali na kutikisa mahusiano ya kidiplomasia yameiweka serikali njia panda kwa kuingilia Uhuru wa michezo hususani mpira wa...
6 Reactions
21 Replies
497 Views
HOTUBA YA PAPA FRANCIS ILIYOSHITUA DUNIA Tafadhali soma hotuba ya Baba Mtakatifu. Bila kujali dini yako, ona jinsi Papa Francis alivyoandika vyema kuhusu familia. FAMILIA NI MAHALI PA MSAMAHA...
1 Reactions
4 Replies
111 Views
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
31 Reactions
815 Replies
32K Views
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
12 Reactions
285 Replies
20K Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Weka mbali na watoto!
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa. Shukrani
3 Reactions
90 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,512
Posts
49,204,411
Members
664,043
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom