Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
3 Reactions
22 Replies
274 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
47 Replies
551 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Ya kale Ni dhahabu ndiyo kitu ninachoweza kusema, Kwenye ndimi za waliotutangulia Basi Kuna hekima ndani yake. Miaka iliyopita wazazi wetu walikuwa wao ndiyo wanapendekeza mtoto wao wa kiume Ni...
4 Reactions
13 Replies
433 Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi...
5 Reactions
56 Replies
652 Views
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao )...
27 Reactions
102 Replies
7K Views
Habarini wana JF, Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi. Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki? Tutaweza kuona matukio...
2 Reactions
20 Replies
253 Views
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
6 Reactions
29 Replies
322 Views
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
5 Reactions
47 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,790
Posts
49,429,553
Members
666,056
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom