Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
2 Reactions
7 Replies
193 Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
4 Reactions
24 Replies
428 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Busi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji, Binti anamuomba Simu...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Maandalizi yameshaanza.
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
16 Reactions
67 Replies
2K Views
Habari Tanzania! Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kiukweli wananchi...
4 Reactions
74 Replies
878 Views
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
7 Reactions
27 Replies
702 Views
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
2 Reactions
13 Replies
124 Views
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi...
0 Reactions
25 Replies
355 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
10 Reactions
125 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,304
Posts
49,196,754
Members
663,984
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom