Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halafu uje ulalamike hela huioni wakati inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi...
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24...
Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Mambo yapo kama 1980s kwenda shuleni kuwahi namba kuhofia viboko, kukariri time table, kengele inagongwa ya mapumziko kupiga stori, kurudi darasani kufundishwa nchi ina demokrasia, kengele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.