Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
10 Reactions
32 Replies
941 Views
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake. Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Habari, Mwenye mawasiliano na familia ya Marehemu Fanuel Sedekia naomba anisaidie. Ahsante
10 Reactions
162 Replies
30K Views
Habari wakuu! Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali...
9 Reactions
42 Replies
671 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
48 Replies
936 Views
Tukitaka jiji la Mwanza liwe bora kimwonekano lakini pia liongeze thamani ya ardhi na uwekezaji ambao utachangia mapato basi hatuna budi kuanza na ile mitaa ya daraja la juu na daraja la kati...
3 Reactions
6 Replies
61 Views
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami. Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
4 Reactions
32 Replies
214 Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
22 Reactions
99 Replies
4K Views
Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba...
1 Reactions
11 Replies
166 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
9 Reactions
74 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,890
Posts
49,433,483
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom