Kwangu mambo yote ni shega tu!
Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!.
Yawezekana tumefanyiwa tu fitina.
Ina maana hawa waliotoa haka ka...
wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wapishi wa nyama katika migahawa, Bar, hotel, sherehe na hata majumbani hakikisheni nyama zinaiva vizuri na kuwa laini kabisa. Iwe nyama ya kuchemsha, kuchoma au kukaanga nyama inatakiwa iwe...
Kuna muda inakupa wakati mgumu kujua kama wako Serious.
Yametokea Mafuriko Rufiji, wakatuma Kada wao akawadanganye Wana Rufiji kudai dida, alichokipata hawatakisahau.
Yametokea mafuriko Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.