Wakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo
Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko
Hongera RC Chalamila...
Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kutokana na sababu mbalimbali km ugonjwa, chanzo cha kifo n.k mtu anaweza kufariki na mwili wake yaani kila sehemu ya mwili ipo vizuri kiasi unaweza kudhani mtu huyo bado yupo hai
Lakini kuna...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.