Habari wana jamvi wenzangu.
Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama.
Ila kuna sehemu unakwama.
Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/ kupumguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja...
Serikali ya CCM Kila siku inatumbua wakurugenzi wa Halmashauri, ambapo naona ni uonevu kwa kiasi Fulani.
Serikali aigusi wakurugenzi wa taasisi za serikali, ambao ni wakurugenzi wa vitengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.