Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar
3 Kilimanjaro...
TUNAKUFUNGA NA KUANDAA WIRING YA MIFUMO YA ULINZI.
Shuleni,Nyumbani,Godown,Hotelini nk.
Na wewe boss wetu hujachelewa karibu tukuhudumie kwa mahitaji ya Installation,systems upgration,maintenance...
Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri.
Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali.
Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.