Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu...
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala...
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw
Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
Nimeitoa huko twitter,
Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti.
Bila kupoteza muda ni...
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.