Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
7 Reactions
43 Replies
461 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa...
3 Reactions
23 Replies
91 Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
15 Reactions
79 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
0 Reactions
10 Replies
383 Views
  • Poll
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
6 Reactions
12 Replies
286 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
322 Replies
5K Views
https://youtu.be/PzXidI7eSAM?si=rjlBLsmrAOEmFIai
8 Reactions
27 Replies
891 Views
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Amesha muuza Yesu.
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
9 Reactions
40 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,427
Posts
49,201,715
Members
664,012
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom