Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel ==== Israeli missiles have...
11 Reactions
582 Replies
19K Views
Ni hivi Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza, Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha yote,maana...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
28 Reactions
124 Replies
1K Views
Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya, Sasa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kiongozi wa jeshi la Polisi ngazi ya mkoa anaitwa Kamanda wa Polisi mkoa (Regional Police commander). Huyu naambiwa mpaka ana mamlaka ya kufukuza kazi bàadhi ya Askari Mkoani kwake na asihojiwe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy...
3 Reactions
21 Replies
364 Views
Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
19 Reactions
172 Replies
2K Views
Kwa kazi zangu za mtandaoni mara kwa mara na sim yenye kasi na uwezo wa kuhifadhi vitu vingi na inayokaa na chaji sana nishaurini tafadhali ninunue sim gani kwa hiyo bajeti
4 Reactions
12 Replies
555 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,840
Posts
49,431,533
Members
666,077
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom