Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
5 Reactions
32 Replies
553 Views
Kwa hapa Dar es Salaam mtu kama hupiki kwako ukitegemea kula migahawani basi utateseka sana, huku mitaani kukuta mahali wanapika vyakula vya kueleweka basi utazunguka sana. Wengi wanapika vyakula...
29 Reactions
100 Replies
2K Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
6 Reactions
21 Replies
320 Views
Huyu ni msanii mkubwa ulimwenguni, je umemtambua kuwa ni nani?
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
189 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi...
4 Reactions
75 Replies
4K Views
habari wadau. Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
0 Reactions
9 Replies
20 Views
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape...
27 Reactions
42 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni...
1 Reactions
22 Replies
543 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,559
Posts
49,421,709
Members
665,994
Latest member
Shaibu Ally Bakari
Back
Top Bottom