Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vijana mlioomba kuingia TAKUKURU Majina ya kuitwa kwenye Usaili yametoka kwenye Website Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
7 Reactions
72 Replies
6K Views
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
4 Reactions
19 Replies
217 Views
Humu kuna watu wengi sana. Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years. Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
2 Reactions
14 Replies
113 Views
Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi...
5 Reactions
29 Replies
620 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
18 Reactions
69 Replies
2K Views
Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
2 Reactions
17 Replies
566 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
8 Reactions
146 Replies
2K Views
Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha...
5 Reactions
20 Replies
134 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,647
Posts
49,208,462
Members
664,070
Latest member
merckme
Back
Top Bottom