Akifungua Maonesho ya wiki ya Nishati,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ametangaza kumalizika Kwa mgo wa Umeme Nchini.
Dk. Biteko amesema wamefanikiwa kutekeleza Agizo la Rais...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷
Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah...
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato...
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni...
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha.
Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
Mimi ni mtaalamu katika sekta ya ufugaji nyuki, kama kuna kitu unahitaji kujua kuhusu Nyuki na Asali niulize nitajibu kadri ya uelewa wangu. Karibuni. "Without bees man will have only 4 years to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.