Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao )...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇮🇷 Israel ilishambulia Isfahan ya Iran kwa kutumia ndege zisizo na rubani
Vyombo vya habari viliripoti hayo kwa kurejelea taarifa kutoka upande wa Iran. Mji muhimu kimkakati...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
Here is a reason behind
Sexual dreams can feel good because the brain releases neurotransmitters, such as dopamine and oxytocin, which create pleasurable sensations and feelings of intimacy and...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Moja ya tamaduni ya zamani kabisa ni ile ya kuongea mwenyewe. Siku hizi ukiongea mwenyewe unaonekana chizi, hii haikuzuii kuongea mwenyewe au kujiongelesha mwenyewe ukiwa faragha.
Ukisoma...
Mbunge wa viti Maalumu Chadema ( kesi iko mahakamani) mh Kaboyoka amesema Kamati yake huwa inawaita na Kuwahoji Wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG Kuwa wameiibia Serikali
Wale wanaothibitika...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.