Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani
Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa na jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo
https://www.yahoo.com/news/massive-effort-clear-baltimore-bridge-052245950.html
Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha...
Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa”
- Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika.
Yapi maoni yako??
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo.
Jee ni kweli?
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU
Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake
Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu
VIFAA
1.Kitunguu...
Naamka asbh namuamkia mtu ,jirani yangu alfu harudshi salama anaitikia kimkato tu na kutuliaa ,hichi kitu kina nikeraa sana naona Kam najipendekezaa mm! ,wakt jirini mwingine ananisalimia kwa...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?
Mwafrika mweusi mwenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.