Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchaowa nazo ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
2 Reactions
10 Replies
37 Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
3 Reactions
16 Replies
287 Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
0 Reactions
5 Replies
104 Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
27 Reactions
53 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
10 Reactions
121 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
3 Reactions
30 Replies
312 Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea? Mashaka ni kwamba labda bomba...
1 Reactions
15 Replies
281 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,483
Posts
49,203,154
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom