Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande.
Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha...
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
Habari!
Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe...
Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.