Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku Nani anaweza Hilo
Mm najuwa ili upate kibali Kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia
USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha...
Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi.
Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza...
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao...
Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele.
Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro.
Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu.
Natanguliza shukrani!
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.