Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekuwa nikiwasikia mashabiki wa yanga walivyokaririshwa eti Simba hajawahi kufika fainali ya CAF kwa vile kikombe alichofika fainali kiliitwa Abiola Cup. Ni sawa na mtu asema kombe halikuwa la...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Bwana haji Manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chanzo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndugu na jamaa. Haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha...
4 Reactions
27 Replies
634 Views
Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika, Siku ya mechi na singida black star ilibidi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
43 Reactions
176 Replies
3K Views
Yaani tusijidanganye hata siku moja. Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc.. Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila...
18 Reactions
78 Replies
1K Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
16 Reactions
71 Replies
2K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
0 Reactions
14 Replies
231 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,029
Posts
49,404,453
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom