Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Article
Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa. Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
0 Reactions
8 Replies
238 Views
Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
10 Reactions
62 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
14 Reactions
240 Replies
4K Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
142K Replies
7M Views
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au...
1 Reactions
12 Replies
148 Views
Nahitaji kununua mashine ya Selcom Iliunganishwa na NBC ,ambaye yupo serious anicheki inbox
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ule mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala...
0 Reactions
13 Replies
122 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
7 Reactions
160 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,600
Posts
49,423,241
Members
666,012
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom