Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
19 Reactions
120 Replies
3K Views
INTRODUCTION:- Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY:- Tarehe 18/04 Mtukufu raisi wetu A.K.A "Mama anaye upiga mwingi"" alitengua uteuzi wa DED Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila...
0 Reactions
4 Replies
45 Views
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
11 Reactions
32 Replies
469 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
30 Reactions
119 Replies
4K Views
Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
7 Reactions
151 Replies
2K Views
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege...
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
139 Reactions
7K Replies
836K Views
Habari za majukumu wakuuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam...
15 Reactions
210 Replies
11K Views
Nyuma mwiko kwetu. Lazima alie mtu hapa. Kipigo cha Mbwa Mwizi anakipata hapa. Yaani akijitahidi sana kuzuia 3. Mbali na hapo ni mwendo wetu ule ule wa kutandika makofi tu. 5 kwa nunge. Si...
4 Reactions
10 Replies
356 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,945
Posts
49,435,550
Members
666,147
Latest member
Aby Emmanuel
Back
Top Bottom