Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini...
2 Reactions
60 Replies
2K Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
1 Reactions
40 Replies
555 Views
1. ACHANA NAYE na ulee watoto wako uliowapata ukiwa na mkeo. Unaweza kuamua kuoa mwanamke mwingine ama kubaki mseja daima. Kumbuka ukiamua kuoa tena hutapata malaika mwingine bali utapata mke...
13 Reactions
60 Replies
2K Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
8 Reactions
38 Replies
724 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
13 Reactions
260 Replies
5K Views
Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya siku 4 Nchini Uturuki tarehe 17/4/2024 Kwa Mualiko wa Rais huyo wa Taifa kubwa bwana Recep Yayib Erdogan. Huenda Samia ndio atakuwa Rais wa kwanza kufanya...
3 Reactions
18 Replies
479 Views
  • Sticky
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
27 Reactions
7K Replies
992K Views
Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid...
11 Reactions
122 Replies
9K Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
50 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,844
Posts
49,398,807
Members
665,732
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom