Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini, ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe...
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k
Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni UKIMWI...
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari...
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?
Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote.
Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa...
Salaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote...
Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.