Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu
Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini...
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi.
Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi
1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini
2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu)
#upambanaji...
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.