Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
6 Reactions
95 Replies
2K Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
17 Reactions
84 Replies
2K Views
Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa ja mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Habari Wanabodi Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya matangazo ya kazi kutoka ITM Tanzania Ltd. ......... Kufahamu kuhusu ITM Tanzania Ltd tafadhali tembelea...
4 Reactions
120 Replies
12K Views
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
2 Reactions
19 Replies
420 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
8 Reactions
99 Replies
1K Views
WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa...
3 Reactions
8 Replies
742 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
0 Reactions
6 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,396
Posts
49,485,063
Members
666,731
Latest member
kudojo
Back
Top Bottom