Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Binafsi niliwahi kusinzia kwenye usafiri wa daladala hadi kupitilza kituo nilichokusudia kushuka. So, sikuona kama ni jambo la kushangaza sana.
Lakini leo hii Anti yangu ananisimulia kwa...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa...
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.
Yamewahi...
Siwezi msahau Mwanaisha.... Siwezi. Nitaendelea kumkumbuka sana. Ingawa mpaka sasa nikienda Tanga nakosa nguvu za kumtafuta. Sijui ananionaje. Sielewi ananifikiriaje. Ila siwezi mtafuta tena na si...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24...
MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano
Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ
Kikosi cha Simba kinachoanza
Goool 25 Fred anaitanguliza Simba
Chama ameumia anatoka anaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.