Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira, Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara, Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira, Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata? Hukaa kimya...
2 Reactions
4 Replies
118 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo...
2 Reactions
16 Replies
348 Views
Kamishina wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
6 Reactions
34 Replies
549 Views
The Weekend - Out of Time
16 Reactions
3K Replies
57K Views
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
7 Reactions
51 Replies
991 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
4 Reactions
18 Replies
122 Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
10 Reactions
15 Replies
165 Views
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
6 Reactions
56 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,325
Posts
49,197,565
Members
663,991
Latest member
Moeka Ludili
Back
Top Bottom