Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo.
Inasikitisha sana.
Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu...
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.
Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.
Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.
Sasa swali langu...
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na...
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.