Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata...
14 Reactions
79 Replies
2K Views
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 14, leo Aprili 25, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=p7Fhew7eNt0
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
24 Reactions
5K Replies
117K Views
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA. Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa. TANGANYIKA Haipo hakuna...
0 Reactions
8 Replies
179 Views
Mimi ni: Kujana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa...
7 Reactions
59 Replies
550 Views
Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya...
2 Reactions
5 Replies
209 Views
Salaam ,Shalom!! Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
7 Reactions
29 Replies
501 Views
Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma,ujiandae kuwapa posho,nauli na chakula. Angalizo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
4 Reactions
9 Replies
91 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,325
Posts
49,482,371
Members
666,697
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom