Pesa nyingi za umma zinatolewa kwa ajili ya miradi ya umma na maendeleo ya wananchi. Zinaliwa na zinatafunwa. Ripoti ya CAG ipo wazi
Rais Samia aliwahi kutamka wazi kuwa watumishi wa umma wale...
Wakuu mambo vipi?
Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye...
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyodukuliwa kwenye Maandamano ya Chadema huko Kahama .
Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo , lakini mimi napinga...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
Wakicheza mchezo wao wa 34 uwanjani goodison park, (merseyside derby)wekundu hao wamekubali kichapo cha mbili mtungi mbele ya wapinzani wao wa jiji la liverpool everton.
Tuonane msimu ujao tena...
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.