Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu...
Kwa mambo yanayoendelea huko mtandaoni shutuma mbaya na za kutisha
Sio nzuri kwa mkuu wa nchi, haipendezi wala sio busara kuona mkuu wa nchi anashutumiwa mambo mazito kama yale huku mkuu mwenyewe...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na...
Hapa ni baadhi
1. Mbege
2. Dengerua
3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.