Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Usiombe uingie kwenye 18 za hawa upcoming wa 2000 ni balaa, wanapiga shoo kali sana, unachotakiwa mpatie vibes anazotaka, mfano pombe na msosi. Hivi vitoto vya 2000 vinajua mpaka vinakera shoo...
4 Reactions
9 Replies
135 Views
Watu wa daressalam, watoto wa mjini daressalam 😁😁 mmekuwa ni muhanga Sana wa hili.. Mimi shughuli zangu Mara nyingi hufanyia kanda ya ziwa, na mara moja moja huja daressalam endapo tu Kuna fursa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
1 Reactions
18 Replies
750 Views
Unapokuwa kazini au popote ukakutana na mtu wa aina hii. Mpole, mwema na Hapend magonvi kaa mbali naye.
0 Reactions
5 Replies
104 Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
431 Replies
32K Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Habari wadau wa jukwaa la Tech,juzi ilinyesha mvua kubwa na radi iliyopelekea umeme kukatika.Cha ajabu umeme ulivyorudi kwangu uligoma kabisa ikabidi kuwaita TANESCO kuangalia wakadai mita...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi...
1 Reactions
3 Replies
49 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,469
Posts
49,202,663
Members
664,031
Latest member
G 1
Back
Top Bottom