Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mimi nahisi ningekuwa mchekeshaji ndio comedian, huwa najihisi kabisa hii kitu ingenifaa zaidi. Wewe je?
1 Reactions
21 Replies
95 Views
Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
12 Reactions
47 Replies
607 Views
Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi. Wanafunzi katka vidato husika endapo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
17 Reactions
143 Replies
1K Views
Ndiyo maana GENTAMYCINE nikaamua tu kubakia na hii hii Degree yangu Moja tu kutoka Chuo Kikuu cha Werevu tupu Tanzania cha Mtakatifu Augustino Mwanza ( SAUT Mwanza ) na wala sikutaka tena sijui...
6 Reactions
32 Replies
538 Views
Here is a reason behind Sexual dreams can feel good because the brain releases neurotransmitters, such as dopamine and oxytocin, which create pleasurable sensations and feelings of intimacy and...
3 Reactions
63 Replies
988 Views
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya...
30 Reactions
246 Replies
19K Views
JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka Kinga...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu, Nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho. Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD. Mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze
2 Reactions
28 Replies
6K Views
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...
2 Reactions
29 Replies
824 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,827
Posts
49,431,195
Members
666,078
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom