Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
Juma hili benki ya dunia imezuia ufadhilii wa mabilioni ya shilingi kwenye sekta ya utalii na uhifadhi kwa Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.
Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu...
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata Sita Sawa na lita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.