Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
Kwema Wakuu!
Funga ni yako na dini yako na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini...
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?
Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.