Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu. Yamewahi...
23 Reactions
38 Replies
583 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game...
5 Reactions
165 Replies
2K Views
kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme , tuwe tunatumia umeme na gas, mana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya.
1 Reactions
2 Replies
27 Views
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Viongozi wa Yanga mbona mmelala kiasi hiki? Hamuoni hii ni hujuma ya wazi? Lengo la Tff na bodi ya ligi ni nyie kudodosha point ndio maana wanalazimisha mechi ichezwe kwenye uwanja usiochezeka...
0 Reactions
6 Replies
81 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Huduma za hospitali ya rufaa Bugando zina changamoto hasa wodi za watoto, kwenye wodi za watoto wanaolazwa wanachanganya wazazi/walezi wa kiume na kike hali inayopelekea baadhi ya wasimamizi wa...
3 Reactions
14 Replies
39 Views
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
8 Reactions
74 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,179
Posts
49,477,286
Members
666,641
Latest member
Aliy seif
Back
Top Bottom