Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti...
3 Reactions
7 Replies
96 Views
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake. Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Bilionea Rostam Aziz mpaka sasa hajatuma hata sh 100 kwenda Tehran. Wakati huohuo mayaudi dunia nzima yanatuma mabilioni katika kusaidia war effort hapo mashariki ya kati. Israel ndio nchi...
2 Reactions
13 Replies
158 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
73 Reactions
4K Replies
245K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
35 Reactions
174 Replies
2K Views
Ndugu zangu habrini! Mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu.nilimaliza elimu yangu ya juu mwaka 2018 katika taasisi kubwa sana hapa nchi. Nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili na miezi 6...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
20 Replies
101 Views
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi...
0 Reactions
10 Replies
99 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,872
Posts
49,432,864
Members
666,106
Latest member
cosmas maxmilian Alex
Back
Top Bottom