Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa...
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?
maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana.
Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.