Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono.
Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti.
Askari walifika...
Uongo dhambi.
Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.
Hata mke wangu...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika...
Katiba ya JMT imetamka Wazi endapo Rais atapata dharura na Kushindwa kuendelea kuongoza basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais wa JMT
Wakati wa kupiga kura ni mtu Mjinga tu ambaye...
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh.Mtatiro kwa kuteuliwa tena...
Mahakama ya wilaya ya Babati umemhukumu kifungo cha maisha jela Yunusu Juma (18), Mkazi wa Kijiji cha Mawemairo kata ya Magugu Mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.