Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
6 Reactions
66 Replies
925 Views
Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao. Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia...
3 Reactions
13 Replies
488 Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
8 Reactions
40 Replies
327 Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu...
8 Reactions
40 Replies
648 Views
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana. Hii...
6 Reactions
41 Replies
664 Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
0 Reactions
21 Replies
246 Views
https://www.instagram.com/reel/C50XkOvoJzO/?igsh=aGJ2eHoydzdkbXRy
3 Reactions
11 Replies
230 Views
Kwa wale wamiliki wa shule na wauzaji wa masweta ya shule, tunapenda kuwatangazia kuwa, tunazalisha (tunafuma) masweta ya shule kiwandani kwetu. Tunakuwekea kabisa na logo ya shule yako kwa...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru..... Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa...
5 Reactions
37 Replies
609 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,936
Posts
49,401,333
Members
665,779
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom