Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status. Nikiwa nimeingia sehemu ya...
11 Reactions
19 Replies
783 Views
Wakuu, haya maisha yanafunzo. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake! Mtoto aliniachia mawasiliano...
26 Reactions
151 Replies
3K Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
25 Reactions
131 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
1 Reactions
17 Replies
194 Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
14 Reactions
103 Replies
1K Views
Ugonjwa wa pangusa ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu unajulikana kwa kitaalamu kama ‘chancroid’. Ugonjwa huu huleta vidonda vikubwa sana kwenye sehemu za siri na...
1 Reactions
2 Replies
74 Views
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
5 Reactions
29 Replies
981 Views
Wakuu, Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU...
8 Reactions
49 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,664
Posts
49,110,249
Members
662,952
Latest member
Bad Guys
Back
Top Bottom