Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana.
Mwanamke au mwanaume...
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
Ni hivi
Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza,
Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha yote,maana...
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa...
Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow
Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.