Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sikukuu jamani April 20. Inaitwa 4-20 Ni siku ya kula bhange duniani 🤫😆😆 Basi hata tusipopumzika tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na fursa ya zao la bange nchini. Au mnasemaje masela?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
4 Reactions
69 Replies
852 Views
Hiyo ndio asili ya muafrika. Kiasili na kwa utamaduni wake muafrika sio wa kuwa na mke mmoja. Turudi nyumbani kumenoga. Kwani kuna kwere eti wajameni?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hakika ya dunia ina vitu vizuri na vyenye kupendeza ambapo pengine watu kwenye malengo watatamani kuvipata ama kuvifikia. Miongoni mwa hvyo vitu vizuri ni majiji makubwa hapa duniani yenye...
2 Reactions
12 Replies
170 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
54 Replies
1K Views
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia. Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
15 Reactions
52 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana,basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka. Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,897
Posts
49,433,974
Members
666,121
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom