Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.
Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa.
Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa...
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐
Naomba mwenye softy copy ya vitini tajwa hapo juu aweze kunisaidia
(Cytology&Biochemistry) pamoja na (Genetics) vyote vimeandikwa na josephat au Mr Mandia
๐๐๐
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.