Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo
Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine.
Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata...
Niko zangu youtube mara ghafla binvuu linakuja tangazo la namna hii, content ya Tangazo na picha ilowekwa inanivuta kwa jicho la udadisi, kutaka kujua aliyesanifu na kuhariri tangazo walikuwa sawa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kiukweli kama deni basi ni lile tazamio kwamba " Muda ukifika Tutawaahidi Kujenga Daraja la Ununio - Unguja"
Ila tunamshukuru Rais Samia kwa kukamilisha miradi hii niliyoitaja waliyoianza na...
Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu.
Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo...
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa...
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.