Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa...
Usiombe uingie kwenye 18 za hawa upcoming wa 2000 ni balaa, wanapiga shoo kali sana, unachotakiwa mpatie vibes anazotaka, mfano pombe na msosi.
Hivi vitoto vya 2000 vinajua mpaka vinakera shoo...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !
Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira,
Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara,
Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira,
Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata?
Hukaa kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.