Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakika naona sasa ni Wakati sahihi kwa Serikali na Mifuko husika kutoa ELIMU juu ya KIKOKOTOO na Mafao ya Wastaafu ili kuwajengea Uelewa mpana Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa. KIKOKOTOO...
3 Reactions
38 Replies
437 Views
Kuishi sehemu kama hii lazima utakuwa vizuri kichwani na afya ya mwili pia. Hapo kuishi miaka 120 kawaida tu. Switzerland [emoji1237]
36 Reactions
129 Replies
4K Views
Ni ushauri tuu Kwa wapambe na wapanga Mikakati wa Rais Samia. Badala ya kutumia mda mwingi kufanya makongamano,kuchapisha kofia,vipeperushi na Mabasi yenye picha ya Rais ni Bora mkaingia fields...
1 Reactions
3 Replies
22 Views
Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo...
27 Reactions
173 Replies
4K Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
219K Replies
16M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
2 Reactions
30 Replies
539 Views
kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana...
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Natumai wote wazima kabisa Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya...
1 Reactions
5 Replies
60 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,892
Posts
49,400,163
Members
665,765
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom