Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu wasalaaaamu! Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya...
4 Reactions
24 Replies
941 Views
BISSIROU DIOMAYE FAYE-RAIS KIJANA WA SENEGAL: Ni mtu aliyevunja rekodi,kwa kugombea nafasi ya juu sana kwa mara yake ya kwanza, na akashinda kwa kishindo.Pia ni mtu ambaye wakati anagombea urais...
8 Reactions
16 Replies
463 Views
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya...
5 Reactions
8 Replies
224 Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
6 Reactions
105 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi...
1 Reactions
8 Replies
137 Views
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo...
176 Reactions
884 Replies
62K Views
Hii NCHI ina VIONGOZI wa Ajabu sana.CAG yupo kwa Mujibu wa KATIBA kuwepo na Kuondolewa kwake LAZIMA kufuate KATIBA japo kuna KIONGOZI tuliwahi kumpata kwa Bahati mbaya KIONGOZI huyo alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
3 Reactions
14 Replies
79 Views
Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa...
1 Reactions
4 Replies
124 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,576
Posts
49,206,036
Members
664,059
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom